Home Back

CCM Yafanya Uteuzi Wa Wanachama Watakaoongoza Nafasi Zilizoachwa Wazi

globalpublishers.co.tz 3 days ago
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan

Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa (NEC) katika kikao chake cha kawaida, iliyokutana leo tarehe 30 Juni, 2024 jijini Dar Es Salaam chini ya Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na mambo mengine, imefanya uteuzi wa Wanachama watakaogombea nafasi wazi za uongozi katika Chama na Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM).

Nafasi hizo ni ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora, Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Shinyanga na Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya ya Misungwi. Wanachama walioteuliwa kugombea nafasi hizo ni;

A: Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Tabora

1. Ndugu Saada Ibrahim Malunde
2. Ndugu Said Juma Nkumba
3. Ndugu Athumani Rashid Mfutakamba

B: Mwenyekiti wa UVCCM, Mkoa wa Shinyanga

People are also reading