Home Back

Rais Samia Awasili Jamhuri ya Korea kwa ajili ya Ziara ya Kikazi ya siku sita

globalpublishers.co.tz 2024/7/4
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Jeshi wa Seoul, Jamhuri ya Korea kwa ajili ya Ziara Rasmi ya Kikazi tarehe 31 Mei, 2024.
RaisĀ  Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Jeshi wa Seoul, Jamhuri ya Korea kwa ajili ya Ziara Rasmi ya Kikazi tarehe 31 Mei, 2024.
Rais Samia akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Jeshi wa Seoul.
Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya Watanzania wanaoishi Jamhuri ya Korea.
Rais Samia akimtazama mtoto mara baada ya kuwasili.
Rais Samia akifurahia jambo na Wanadispora.
People are also reading