Home Back

Picha ya Pamoja ya Zuhura Yunus na Mhe. Rais Samia Baada ya Kuapishwa

globalpublishers.co.tz 2024/7/4

Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Zuhura Yunus, akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais Philip Mpango na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, mara baada ya kuapishwa kwenye nafasi hiyo jana, Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Zuhura amepandishwa cheo kutoka nafasi yake ya awali ya Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais.

People are also reading