Home Back

Yanga yatangaza tarehe ya kuanza Kambi

bongo5.com 2024/10/5

JUST IN: Uongozi wa klabu ya Yanga umetangaza kuwa Jumatatu ya Julai 8, mwaka huu, wachezaji wote wanatarajia kuanza kuripoti kambini kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa 2024-2025. . Baada ya hapo, benchi la ufundi la Young Africans SC chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi, litaanza mikakati ya kuiandaa timu. . NB: Bado Yanga hawajathibitsha ni wapi wataweka Kambi rasmi.