Home Back

Afisa mkuu wa elimu Ujerumani huenda akafutwa kazi

dw.com 2024/7/7
Ujerumani | Kamishna wa elimu Sabine Döring.
Sabine Döring ni afisa wa pili wa cheo cha juu katika wizara na anashughulikia vyuo vikuu

Wizara ya Elimu ilisema Stark-Watzinger, alituma maombo kwa kansela wa Ujerumani Olaf Scholz, kumuondoa Döring ambaye ni afisa mkuu wa pili baada ya Watzinger katika wizara hiyo. 

Mapema mwezi May wanaharakati takriban 150 wanaoiunga mkono Palestina,  walitaka kuweka makambi katika chuo hicho kikuu kupinga mashambulizi ya Israel katika ukanda wa Gaza. Chuo hicho mara moja kiliwaarifu polisi kuhusu tukio hilo na mkusanyiko huo kudhibitiwa. 

Baada ya hapo kundi la wasomi mbali mbali kutoka katika vyuo vikuu tofauti vya Berlin wakaandika barua wakiunga mkono haki ya wanafunzi kuandamana.
 

People are also reading